Alhamisi, 25 Julai 2013

kuitwa kwenye usaili

1
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na. EA.7/96/01/D/
06
18 Julai
,
2013
KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Aji
ra katika Utumishi wa Umma kwa niaba
Tanzania
Investment Centre (TIC),
a
natarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwapangia vituo vya
kazi, waombaji kazi watakaofaulu usaili.
Wasailiwa wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:
1.
Ukaguzi wa vyeti utafanyika saa 1:00 k
abla ya muda wa mtihani wa mchujo
kuanza.
2.
Kwa wale wasiokuwa na mtihani wa mchujo usaili utaanza saa mbili (2:00)
asubuhi na utafanyika katika mahali na tarehe kama inavyoonyesha katika
nafasi husika.
3.
Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kita
mbulisho cha mkazi,
kupigia kura, benki, kazi, hati ya kusafiria n.k
4.
Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) za kuanzia kidato cha nne, sita,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na
sifa za mwombaji.
5.
“Testmonials”, “Provisio
nal Results”, “Statement of results”, hati matokeo
za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS)
HAVITAKUBALIWA.

2
6.
Kila msailiwa aje na picha moja (Passport size).
7.
Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
8.
Kila msailiwa az
ingatie tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa usaili
9.
Kila msailiwa aje na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate)
10.
Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa
na mamlaka husika (TCU
&
NECTA)
11.
Wale ambao majina yao h
ayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa
maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba tena mara nafasi za kazi
zitakapotangazwa.
MWAJIRI
KADA
TAREHE YA
USAILI WA
MCHUJO
TAREHE YA
USAILI WA ANA
KWA ANA
TANZANIA
INVESTMENT
CENTRE
(TIC)
COMPUTER
PRO
GRAMMER
HAKUNA MCHUJO
26
/07/2013
KADA: COMPUTER PROGRAMMER
MWAJIRI: TANZANIA INVESTIMENT CENTRE
(TIC)
MAHALI:
OFISI ZA SEKRETARIETI YA AJIRA, MAKTABA KUU YA TAIFA, GHOROFA YA PILI, BARABARA YA
BIBITITI MOHAMED.
TAREHE: 26
-
07
-
2013, SAA MOJA
NA NUSU
AS
UBUHI
Na.
JINA
ANUANI
Na.
JINA
ANUANI
1
HAMISI SAIDI
P. O BOX 65196
DAR ES SALAAM
2
GUDILA PAUL
MUSHI
P.O BOX 31694
DAR ES SALAAM
3
ZUHURA D. OMARY
P.O BOX 24597
DAR ES SALAAM
4
MUSTAFA
MOHAMED JUMA
P.O. BOX 9070
DAR ES SALA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni